Hata kama hauna meza nzuri ya kupanga makeup zako unaweza ukaziput kwenye makeupbags au any droo katika chumba chako......
Pia ni vizur kuangalia miez (expiry date)ya makeup zako .....kwenye kila product utakuta kuna kikopo cha duara kimeandikwa either 12,24 or 32 months hii ndio miez ambayo product inatakiwa kutumiwa baada ya kufunguliwa....... hii miez ikishapita hutakiw kutumia tena hiyo product
No comments:
Post a Comment