Beauty Addict
Blog kuhusu urembo wa wanawake jinsi ya kutunza ngozi yako na makeup ....pia tutakua tuna review skin care na makeup products mbali mbali
Wednesday, 22 March 2017
Hey lovies
Hii kind of makeup ambayo naipakaa everyday kazini...i called it
Makeup no makeup look
Ths is my go to makeup look of everyday...unapaaka makeup like haujapakaa makeup
Huwa ninapakaa wanja vzur sikunyingine nasafsha na concealer na siku nyingne huwa sisafish (its depend na my mood)
After that huwa na prime my eye on my eyelids na under my eyes
Afterkuprime napakaa concealer kwenye my eylids na under myeyes (sababu mm nipo dark kidogo kwenye hz areas)
Nikimaliza hapo na seal concealer with my mac powder
Lastly napakaa mascara na lipstick of the day (siku hz na preffer nude)
Xoxo💋💋
#makeuproutine #makeupjunkie #makeuplover #beautydiaries #instabeauty #blogger #beautyblogger #instabeautyblogger #africa #thursday
Wednesday, 15 March 2017
Jinsi ya kupakaa eyeshadow
Karibuni/welcome
Jinsi ya kupakaa eyeshadow kulingana na shape of your eyes

The way macho yetu yapo shaped yanayofautiana so an eyeshadow look that will look good on someone else inaweza isilook good on you
Kwa wale ambao macho yao yameingia ndani its better kutokupakaa dark colors on the outer corners of ur eyes sababu yatazid kuonekana yapo ndan zaid use more light colors kufanya macho yako yaonekane yapo awake👀....its better kuwacreative when you apply your eyeshadows kulingana na your eyeshape...xoxo💋💋

Monday, 13 March 2017
Foundation
I have been using mac doundations over the years and i really love them....and now i am using mac pro longwear waterproof foundation.....ipo very lightweight na ni nzur kwa wale ambao wana sweat sana sababu yenyewe ni water proof
Xoxo
#mac #foundation # loveit
Xoxo
#mac #foundation # loveit
Thursday, 9 March 2017
Makeup arrangement
Ni vizuri kupanga/kuhifadhi your makeup katika mazingira mazuri na hali ya usafi....inabidi upange your brushes katika sehem ya usafi ili kuepuka vumbi....
Hata kama hauna meza nzuri ya kupanga makeup zako unaweza ukaziput kwenye makeupbags au any droo katika chumba chako......
Pia ni vizur kuangalia miez (expiry date)ya makeup zako .....kwenye kila product utakuta kuna kikopo cha duara kimeandikwa either 12,24 or 32 months hii ndio miez ambayo product inatakiwa kutumiwa baada ya kufunguliwa....... hii miez ikishapita hutakiw kutumia tena hiyo product

Wednesday, 8 March 2017
Karibu/welcome
Karibuni wote kwenye blog yetu itakayokua inazungumzia mambo ya urembo,makeup na skincare
Kama una swali lolote kuhusiana na urembo usisite kuacha comment yako down below

Lippies
I am an addict to lipsticks napenda lipsticks za every colour,nude,red,pink,purple or maroon
I own a decent collection of lipsticks from different brands such as myx,mac,gerard cosmetics,limecrime,wetnwild,jordana etc....karibuni kwenye blog kama una any questions about any urembo just ask below kwenye comment

Subscribe to:
Posts (Atom)